Kuanzia zero hadi kuwa Developer mwenye uwezo wa kujenga website, application na mfumo wa kidigitali unaotatua matatizo halisi na kuingiza kipato
Anza Safari yako ya kuwa Developer, Mjasiliamali wa kidigitali na Mtu wa uhuru wa kifedha
Mentorship ya Karibu
Community ya Wanafunzi
Cheti cha Kumaliza
Lifetime Support
Mafunzo ya Practical
Kuwawezesha vijana wa Africa kupata ujuzi wa kidigitali unaowezesha kubadilisa maisha yao na jamii zao kiujumla
Wanafunzi 1000+ Wamebadilisha maisha yao
Vijana wengi hawana ujuzi wa kidigitali
Kuna Kazi nyingi mtandaoni, lakini hakuna skills
vijana wengi wanategemea biashara ndogondogo zisizo na mfumo
Vijana wengi wanatafuta njia za haraka badala ya kujenga thamani
Matokeo yake?Vijana Wanaishi kwa mikopo, siyo kwa mipango.
Sisi tupo hapa kubadili hilo!
Kujenga bidhaa na huduma za kidigitali
Kujenga Chanzo cha mapato mtandaoni
Kufanya kazi popote pale ulipo
Kujenga biashara yako ya kidigitali
Kuwa huru kifedha na kujenga urithi
Ujuzi huu unaweza kukuweka katika Quadrant yeyote ya Cashflow
Pata ujuzi, upate kazi ya Tech na upat mshahara wa kila mwezi(high paying skill)
Web Developer
Software Developer
Systems Analyst
It Support
Nyinginezo
Fanya Freelance, Toa huduma yako na uingize pesa kutoka kwa clients
Web Development
WordPress Developer
UI/UX Design
Tech Support
Jenga Kmapuni yako ya kidigitali au digital agency. Ajiri tiu ,Toa huduma kwa kiwango kikubwa.
Digital Agency
Saas Products
Online Platforms
Mobile Apps
Systems & Software
Invest mapato yako kwenye assets zinazokuingizia pesa zaidi
invest kwenye Stocks
invest kwenye Properties
Invest kwenye Business
Create Digital Assets
Jifunze misingi ya web development na kujenga project za kwanza
Utajifunza:
HTML
CSS
Responsive Design
Git & Github
Basic Javascript
Jenga Project Halisi. tumia Javascript na frameworks za kisasa.
Utajifunza:
Javascript (ES6+)
DOM & APIs
React.js
Tailwind CSS
Project Development
Kuwa developer kamili. jenga applications kamilifu kutoka frontend hadi backend.
Utajifunza:
Node.js
Express.js
MongoDB
Authentication
Deployment & DevOps Basics
Miradi ya Vitendo
Mentorship na Support
Community ya Wanafunzi
Lifetime Access ya Mafunzo
Maandalizi ya Freelancing na Business
Portfolio Websites
Landing Pages
Business Websites
Dashboard Analytics
Full Stack Web App
E-commerce Website
NA ZAIDI
Kila level ina thamani, lakini thamani halisi ni maisha utakayojenga baada ya hapo.
💰 Malipo rahisi & Usaidizi wa karibu
Mafunzo ya Msingi
Miradi 3+
Community Access
Cheti cha kumaliza
JIUNGE SASAMafunzo ya kina
Miradi 8+
One-on-One Mentorship
Priority Support
Cheti cha Kumaliza
JIUNGE SASAM-Pesa
Halopesa
Airtel Money
Benki
mafunzo ya kisasa yaliyoboreshwa kulingana na soko
Mwalimu Mwenye Uzoefu wa Vitendo
Miradi ya Vitendo & Halisi
Support ya Maisha Yote
Focused on Results & impact
"Nilijiunga nikiwa sifahamu hata HTML. Baada ya mafunzo haya nilijenga portfolio yangu ya kwanza na nikaanza kupata confidence ya kutengeneza website za wateja. Huu ulikuwa mwanzo wa safari yangu."
Gelm M -Web developer
"Nilikuwa naogopa coding kwa sababu nilidhani ni ngumu. Mafunzo ya Aramizkingh Digital yalinigawanyia kila hatua kwa urahisi. Leo ninaweza kutengeneza landingpages na responsive website mwenyewe na nina confidence ya kuendelea kuwa Full Stack Developer."
Lix T -Frontend Developer
USISUBIRI MUUJIZA, JENGA UJUZI
Chukua hatua leo na badilisha maisha yako kwa kujifunza skill yenye thamani ya dunia.
Usibakie Kwenye Kufanya kazi kwa mwingine maisha yako yote jenga kitu chako.
-Aramizkingh